NAFASI ZA MASOMO FORM 1,2,3,4,5,6

About the product
MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL.
SIMU:
+255744180012
+255743764166
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO-2020

MKUU WA SHULE YA MUSOMA UTALII ANAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA:

1. KIDATO CHA TANO KWA MICHEPUO YA:
-
PCB,PCM,CBG,ECA,PGM,HGE,HKL,HGL.

2. SIFA ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO
NI ZIFUATAZO:-

(i) UWE NA "C" TATU KATIKA
MASOMO YAKO.

(ii) USIWE NA "F" KATIKA MASOMO
YA COMBINATION. MFANO:
KAMA COMBINATION YAKO NI-
HKL...UKIWA NA
DDD--SAWA,CDD-SAWA,CCD-
SAWA,
CCC-SAWA! LAKINI ILI
MRADI UWE NA
"C" TATU KTK COMBINATION.

(iii) WANAFUNZI AMBAO WANAKOSA SIFA
ZA KUJIUNGA WATAPOKELEWA
HUKU WAKIFANYA MITIHANI YA
KURUDIA ILIKUPATA UFAULU
UNAOTAKIWA.
-WAHI USAJILI MAANA MWISHO
WAKE NI TAREHE 29/02/2020
KWA WANAORUDIA MITIHANI YA
KIDATO CHA NNE.
2. MASOMO YA PRE-FORM FIVE-2020 KWA
BEI NAFUU SANA.
-MASOMO HAYO YATAENDESHWA KWA
MIEZI MINNE KUANZIA FEBRUARY
MPAKA
MWEZI JUNE.

3. TUNAPOKEA VILEVILE WANAFUNZI WA
KIDATO CHA 1 NA WANAOHAMIA
KIDATO CHA 2,3,4 NA 5
(WANAOINGIA FORM 6 MWEZI MAY).

SIFA ZETU NI ZA PEKEE NA TOFAUTI NA WASHINDANI WETU NA PENGINE ZA KUSTAAJABU:-

1. HATUCHUJI WANAFUNZI BALI
TUNACHUJA
MWALIMU AMBAYE HAWEZI
KUMFAULISHA MWANAFUNZI.

2. TUNAPOKEA WOTE WALIOCHUJWA NA
KUWAFUNDISHA MPAKA WANAFAULU.

3. TUNAWASIMAMIA WANAFUNZI
KUJISOMEA,KUFANYA KAZI ZA
DARASANI
NA PIA WALIMU KUTIMIZA MAJUKUMU
YAO YA KUFUNDISHA.

4. TUNAO WALIMU WEREDI,WENYE
KUJITUMA
KATIKA KAZI.WASIOCHOKA
KUMFUNDISHA,KUMUELEKEZA
MWANAFUNZI,WENYE MOYO WA AGAPE
NA UPENDO KWA WANAFUNZI.

5. TUNAPOKEA WANAORUDIA MITIHANI YA
KURUDIA KIDATO CHA NNE,SITA NA
QT.
Price
Call and ask
Contact with supplier
BACK TO TOP