Tzgospel radio

About the product
Tzgospel kwa sasa tunasikika online kupitia onlinebox, simple radio,tuner na app nyingine nyingi basi bila shaka tunaomba utuunge mkono wakati tunaendelea kueneza injili kupitia nyimbo za gospel.
Ukihitaji kutangaza nasi ni bure kwa matangazo ya kanisa semina za kikanisa mahubiri pia

Na kwa matangazo biashara ni kuanzia elfu kwa mwezi garama hii ndogo itasaidi kutupunguzia gharama ya uendeshaji basi tunashukuru sana

Tusikilize hapa moja kwa moja https://onlineradiobox.com/tz/tzgospel/?cs=tz.tzgospel
Price
Tsh 10000
Contact with supplier
BACK TO TOP