25 feet's fiber fishing boats

About the product
karibu ndugu, Tunauza boat aina zilizotengenezwa kwa material aina ya fiber glass kutoka nchini Sri Lanka zenye urefu wa 7.6m na breadth ya urefu wa 2.3m zenye ubora na ukubwa wa kuweza kufanya shughuri zote za uvivu pamoja na usafirishaji wa abiria na mizigo kwenye maji. kwa mawasiliano zaidi tunapatikana muda wote kwenye namba zetu hapo juu. karibu sana
Price
11000000
Contact with supplier
Company
BACK TO TOP