YUZUAK IRRIFORCE MICO X TD2500-300

About the product
IRRIFORCE MICO X TD2500-300 mashine ya kumwagilia mazao ya Shambani aina zote,majani, bustani,malisho ya mifugo ,mashine inatembea mita 300 kwa pressure ya Maji,inamwagilia eneo lililo lowana kwa usahihi upana wa mita 51 hadi 75 ,urefu wa kamba ya chuma mita 300 ,speed inayotembea ni mita 10-60 kwa saa ina gear 4, aina ya sprinkler inayotumika JET 55 ,urefu wa mpira mita150 ,unene wa mpira 2.5" (65mm) ,,sprinkler yake inaweza wekwa angle yoyote unayotaka izunguke ,inarusha maji nusu kipenyo mita 30-44,matumizi yake ya maji kwa saa ni mita za ujazo 18.5-45.2 ,nozzle zinazotumika ni aina nne ni 16mm ,18mm,20mm,22mm ,pressure inayohitajika 3.7bar Hadi 7.0bar ,eneo linalomwagiliwa na sprinkler ni ekari 2.8 Hadi 4.53 kwa point moja ,mvua inayonyesha 20mm Hadi 40mm kwa saa
???? Gharama za kutuma kwa Mikoa ya Morogoro,Dar es salaam ,Pwani,Dodoma ni BURE
???? warranty period 2 years
???? ???????????????????????????????????? ???????????????? ⬇️
Email:[email protected]
web: www.tast.co.tz
Tell/whatsApp :+255753662203/0719206000
TAST HOUSE, Mkambarani, morogoro, morogoro road, Tanzania
Contact with supplier
BACK TO TOP