NAFASI YA KAZI MAINTENANCE

About the product
Tunatafuta Wafanyakazi wenye Uzoefu wa kuanzia Mwaka 1, katika Nafasi ya MAINTENANCE PERSONNEL, kwenye Kampuni ya Magari Car Assembly company inayopatikana jijini Dar Es Salaam. Hivyo, tuma CV yako ikiambatana na Vyeti vyako vya kielimu na kazi kama vipo katika PDF moja, kupitia barua pepe yetu ambayo ni
[email protected]
Contact with supplier
BACK TO TOP