Review of Moyo Media Co. Ltd


5.0
“Napongeza kuwa walimu ni wazuri sana na wamebobea na wanafundisha kiurafiki sana. Kwa kiasi Fulani nimepiga hatua kutokana na mafunzo ukilinganisha na hali kabla ya mafunzo, nimepata uwezo wa kufanya mengi yanayotokana na mafunzo hayo na kwamba sitosumbuka sana katika kufanya shughuli zangu zitokanazo na mafunzo haya”

Reply to Review

Sign-in Required

Please sign-in or register in order to reply to this review.

Sign inRegister

CONGRATS! THIS IS A 5 STAR REVIEW. You can share it on your business fan's page:
BACK TO TOP